MAWAKALA MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE WAONYWA KUKWAMISHA BIASHARA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda, amewaonya mawakala wa forodha
katika mpaka wa Tanzania na Zambia wa Tunduma/Nakonde kuacha Mara moja
tabia ya kuwachelewesha madereva wa malori yaendayo masafa marefu kwa
makusudi ili wapewe rushwa.
Prof. Mkenda ametoa onyo hilo
katika mpaka huo wa Tunduma na Nakonde, baada ya kupokea malalamiko
kutoka kwa baadhi ya madereva wa malori waliodai wamekuwa
wakicheleweshwa kuvuka mpaka huo kwa zaidi ya siku tatu hadi tano.Habari
kamili hii hapa video yake.
No comments:
Post a Comment