Pages

Monday, January 30, 2017

AZAM MARINE YAFANYA UWEKEZAJI MKUBWA MKOANI TANGA YASHUSHA MELI ITAKAYOKWENDA PEMBA NA UNGUJA KUTOKA MKOANI TANGA


Meli
Kubwa inayoweza kuingia abiria na mizigo kwa pamoja ambayo itafanya
safari zake kati ya Tanga-Unguja na Pemba ikiwa inaingia bandari ya
Tanga leo wakati wa uzinduzi wake ambapo uwekezaji huo mkubwa umefanywa
na kampuni ya Azam Marine ili kuwanusuru wananchi wa mkoa wa Tanga na
changamoto za usafiri huo
Meli Kubwa inayoweza kuingia abiria 1600 na magari hamsini yenye mizigo kwa
pamoja ambayo itafanya safari zake kati ya Tanga-Unguja na Pemba ikiwa
inaingia bandari ya Tanga leo wakati wa uzinduzi wake ambapo uwekezaji
huo mkubwa umefanywa na kampuni ya Azam Marine
 Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein
Mohammed wa pili kulia akitazama namna wananchi wanavyoshuka kwenye
meli hiyo itakayopunguza adha na usumbufu kwa wananchi wanaosafiri
kutoka mkoani Tanga kwenda Unguja na Pemba
Meneja
Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed katikati akizungumza na watumishi
wa mamlaka ya Bandari Mkoani Tanga wakati wa ujio wa meli hiyo kwenye
bandari ya Tanga kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Tryphoni
Ntipi kushoto ni PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu.
 Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed katikati akisalimiana na Kaimu Meneja wa
Bandari ya Tanga,
Tryphoni Ntipi wakati wa ujio
wa meli hiyo kushoto ni 
PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu.
Mazungumzo
yakiendelea
Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ujio wa meli hiyo
kulia 
Mkurugenzi Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa vyombo vya majini
(SUMATRA) Kaptain Mussa Mandia
Mkurugenzi
Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa vyombo vya majini (SUMATRA) Kaptain Mussa
Mandia katikati akizungumza na waandishi wa habari kushoto ni
Meneja Mkuu wa
Azam Marine Husein Mohammed
Nahodha wa Meli hiyo akizungumza na
waandishi wa habari mara baada ya kufika Bandari ya
Tanga.
 Waandishi wa Habari wakiwa kazini kushoto ni Amina Omari wa Gazeti la Mtanzania katikati
ni Mariam Shedafa wa Azam TV
 Vifaa vya uokozi wakati wa majanga ya ajali hivyo
 Baadhi ya Sehemu ya VIP ndani ya Meli hiyo kama inavyo onekana 
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments:

Post a Comment