Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea hundi ya Shilingi milioni sita kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni
ya Pacco GEMS Limited, Bw. Mahendra Bardiya katika harambee ya
kuchangia ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari wilayani Ruangwa ambapo
jumla ya shilingi milioni 138.26 zilichangwa. Harambee hiyo ilifanyika
sambamba na mkutano wa hadhara uliohutubia wa Waziri Mkuu mjini
Ruangwa, Desemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea cheti maalum cha
kutambua mchango wake katika kukijenga na kukiimarisha Chama cha
Mapinduzi wilayani Ruangwa kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa
Lindi, Ali Mtopa katika mkutano wa hadahara aliouhutubia mjini Ruangwa
Desemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akionyesha Cheti Maalum cha kutambua mchango wake katika kukijenga na
kukiimarisha Chama cha Mapinduzi wilayani Ruangwa alichokabidhiwa na
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Ali Topa (kulia) katika mkutano wa
hadhara aliouutubia mjini Ruangwa Desemba 30, 2016. Kushoto ni Katibu
wa CCM wa wilaya ya Ruangwam Issa Njinjo. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Wananchi wa Ruangwa
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano
wa hadhara mjini Ruangwa, Desemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment