Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akifanya mazoezi ya viungo kwenye viwanja vya makazi yake jijini Dar es
salaam ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni yaKitaifa ya kudhibiti
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016
katika viwanja vya Leaders Club.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi na Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa
Oyster bay Ndugu Zefrin Lubuva ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni
yaKitaifa ya kudhibiti Magonjwa yasiyo ya kuambukiza aliyoizindua
tarehe 17 Desemba, 2016 katika viwanja vya Leaders Club.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi na Mwenyekiti wa Serikali za
Mitaa Oyster bay Ndugu Zefrin Lubuva pamoja na wasaidizi wake ikiwa
sehemu ya kuendeleza kampeni yaKitaifa ya kudhibiti Magonjwa yasiyo ya
kuambukiza aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016 katika viwanja vya
Leaders Club.
No comments:
Post a Comment