Wakazi wa mji wa Lindi wakifanya
usafi wa mazingira katika mitaa na barabara zinazozunguka hospitali ya
mkoa huo Desemba 31, 2016. Walifanya hivyo kuitikia agizo la Rais John
Pombe Mgufuli la kuwataka watanzania kutumia muda wa asubuhi kila
Jumamosi kufanya usafi wa mazingira. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment