Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ vilivyokabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Selemani Kidunda kushoto kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ na Mwakilishi
wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto wakiwa
katika picha wa pamoja baada ya kukabidhi vifaa vilivyotoka kwa bondia
Omari Kimweri anayefanya shughuli zake Australia
picha na SUPER D BOXING NEWS
No comments:
Post a Comment