Pages

Thursday, November 3, 2016

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALAOZI WA QATAR

umil1
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na watoto Ummy Mwalimu mapema leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Abdullah Al Maadadi ofisini kwake na kuzungumza kuhusu masuala ya sekta ya afya(Picha na Wizara ya Afya)

No comments:

Post a Comment