Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na kiako
cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya
Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma
Novemba 3,2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses
Nnauye, (kushoto), akiongozana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni waliokuwa wakiwasili bungeni leo
Mbunge wa Hanang, (kushoto), akiongozana na Mbunge wa Nkasi, Ally Kessy
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt
Tulia Ackson akiongoza kikao cha tatu cha Mkutano wa
tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses
Nnauye (kulia) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora
Mhe. Angela Kairuki wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika
kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof Makame
Mbarawa (kushoto) pamoja na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi
Gerson Lwenge wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha
tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim
Majaliwa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kipindi cha maswali ya
moja kwa moja kwake wakati wa kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11
Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya
Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma
Novemba 3,2016.
No comments:
Post a Comment