Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Zambia
Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Zambia
Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia
Edgar Chagwa Lungu wakipita katikati ya Gadi ya Mapokezi iliyoandaliwa
na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo kwa furaha na mgeni
wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika
viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu
akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha Kimasai akiwa na mwenyeji
wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu
akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na
mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada
ya kumaliza mazungumzo yake na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa
Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.

Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mgeni wake Rais wa
Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar
Chagwa Lungu kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment