Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akimkaribisha ofisini
kwake Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Iran Bw. Ali
Bagheri alipowasili kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya
kiutamaduni leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akizungumza masuala
mbalimbali ya kiutamaduni na Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka
Ubalozi wa Iran Bw. Ali Bagheri alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini
Dar es Salaam
Mshauri wa masuala ya Utamaduni
kutoka Ubalozi wa Iran Bw. Ali Bagheri (kulia) akizungumza na Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye masuala
mbalimbali ya kiutamaduni alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es
Salaam
Picha na: Genofeva Matemu
No comments:
Post a Comment