Mkurugenzi wa M-bet, Dhiresh Kaba(kushoto)akimkabidhi
hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 29/- Mkazi wa Shangarai
mkoani Arusha, Kaungame Menas(kulia)alizojishindia kupitia mchezo
wa kubahatisha wa M-bet. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo Novemba
1, 2016. Katikati ni Msemaji wa M bet, Godluck Wambura.
NA MWANDISHI
WETU
Mkazi wa Arusha Mjini, Kaungame Menas Soko mwenye umri wa miaka 28
ameibuka mshindi baada ya kubashiri vyema matokeo ya mechi kupitia Kampuni ya
m-Bet na kujishindia Shilingi Milioni 29/-.
Kaungame amekabidhiwa
fedha zake leo katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwenye
ofisi za m-Bet
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa
m-Bet, Dhiresh Kabba alisema kuwa Kaungame alifanikiwa kuzoa kitita hich baada
ya kufanikiwa kutabiri matokeo ya mechi 15 za ligi ya Ulaya kwa mtindo wa mcheza
kawaida.
“Tunafarijika kumkabidhi Kaungame Menas kitita hicho cha Sh milioni 29/- akiwa ndiye mshindi wa m-Bet ambapo atapata Sh milioni 29/- kabla ya makato ya kodi,” alisema Kabba.
Aliwataka watanzania kuchangamkia kutumia mtandao wa intaneti kuonyesha ushabiki halisi wa soka akisema kuwa Perfect 12 ni mchezo wa ziada unaoruhusu kutabiri mechi 12 kwa Tsh 1,000 tu ambapo ukipatia zote unaondoka na kitita chako mchana kweupe.
“Tunafarijika kumkabidhi Kaungame Menas kitita hicho cha Sh milioni 29/- akiwa ndiye mshindi wa m-Bet ambapo atapata Sh milioni 29/- kabla ya makato ya kodi,” alisema Kabba.
Aliwataka watanzania kuchangamkia kutumia mtandao wa intaneti kuonyesha ushabiki halisi wa soka akisema kuwa Perfect 12 ni mchezo wa ziada unaoruhusu kutabiri mechi 12 kwa Tsh 1,000 tu ambapo ukipatia zote unaondoka na kitita chako mchana kweupe.
Naye Mshindi huyo, Kaungame
Menas amewashauri watanzania wote wenye umri unaoruhusiwa kisheria
kujitokeza kubashiri matokeo ya mechi mbalimbali kupitia Kampuni ya m-Bet .
"Nashukuru
sana m-Bet kwa kuniwezesha kujikwamua kimaisha, nitatumia fedha hizi kutimiza
ndoto yangu ya kununua kiwanja na kuanza ujenzi", alisema Mena
Kuhusu m-Bet, ni Kampuni
iliyosajiliwa chini ya Sheria za Tanzania na kupewa leseni na Bodi ya Michezo
ya kubahatisha tanzania kwa lengo la kufanya upatikanaji rahisi na mwingiliano
wa huduma ya mchezo wa kubahatisha (Sim Betting) nchi nzima
“Kushiriki, ingia www.m-bet.co.tz, chagua kucheza kawaida au Perfect 12 ambapo kwa Shilingi 1000, unachagua matokeo 12. Ukipata yote sawa, unanyakua kikapu cha m-Bet,” alisema Kaba.
“Kushiriki, ingia www.m-bet.co.tz, chagua kucheza kawaida au Perfect 12 ambapo kwa Shilingi 1000, unachagua matokeo 12. Ukipata yote sawa, unanyakua kikapu cha m-Bet,” alisema Kaba.
Mkurugenzi wa M-bet, Dhiresh Kaba(kushoto)na Msemaji
wa M bet,Godluck Wambura(kulia)wakimshuhudia mshindi wa shilingi milioni 29/-
Mkazi wa shangarai mkoani Arusha, Kaungame
Menas(katikati)akisaini
fomu kwa ajili ya malipo ya fedha zake alizojishindia kupitia mchezo wa
kubahatisha wa M bet,wakati wa hafla ya kumkabidhi hundi yake iliyofanyika
jijini Dar es Salaam leo.
Mratibu wa Mradi
wa Tamasha la Fiesta 2016 kutokaTigo, Balla Shareeph (kushoto),
akizungumza wakati wa hafla ya kuwataja washindi 16 Super Nyota Tigo
Dar es Salaam leo. Kulia ni Mratibu wa shindano hilo, Nickson
George na katikati ni Mshindi wa shindano, Galla Mligo 'Galla Bway'
kutoka Dar es Salaam ambaye alizungumza kwa niaba ya washindi wote.
Mratibu wa shindano hilo, Nickson George (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo.
Mshindi wa shindano, Galla Mligo 'Galla Bway' kutoka Dar es Salaam akizungumza kwenye mkutano huo.
Mratibu wa Mradi wa Tamasha la Fiesta 2016 kutokaTigo, Balla Shareeph (kushoto) na Mratibu wa shindano hilo, Nickson
George kulia wakimkabidhi simu Mshindi wa shindano hilo, Galla Mligo
'Galla Bway' kutoka Dar es Salaam kwa niaba ya washindi wote ambao
walikabidhiwa simu hizo.
Waratibu wa shindano hilo na washindi wakiwa katika picha ya pamoja.
Na Dotto Mwaibale
Kampuni inayo ongoza kwa maisha ya
kidijitali ya TigoTanzania leo imewatangaza washindi 16 washindano la
Tigo Fiesta Super Nyota lililofanyika katika mikoa 15 ya Tanzania Bara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt.Joseph Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo Brazavile Mhe.
Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo Mhe.
Jean Claude Gakosso (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi ya Congo
Brazzaville Mhe.
Jean Claude Gakosso (kushoto) ambaye alimkabidhi Makamu wa Rais wa
Ujumbe Maalum wa Rais John Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo
Brazzaville Mhe.
Denis Sassou Nguesso, Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment