Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka
kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa
katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili eo Jumanne Novemba 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa
katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili eo Jumanne Novemba 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni Mhe. Ally Hapi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi,
Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili eo Jumanne
Novemba 1, 2016
:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa
katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016
RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo wakati
alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017
katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016
kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/11 /2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji
wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo
Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/11 /2016.
Washauri wa Rais katika Wizara ya
Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika
kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo
mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/11 /2016.
Baadhi ya maafisa wa Idara mbali
mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017
katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016,
kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 01/11 /2016.

Wakuu wa Idara mbali mbali
katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la

Mshauri wa Rais Ushirikiano wa
Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Mhe,Balozi Mohamed Ramia
Abdiwawa,(kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum,Naibu Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salmin Amour na Katibu wa Rais wa
Zanzibar Nd,Kharoub Shaib Mussa wakiwa katika Mpango kazi wa mwaka
2016-2017 katika kikao cha utekelezaji robo mwaka ya kwanza ya
Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya
mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 01/11 /2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi “Gavu” (katikati)
akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017
katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016,
kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,na Mshauri wa Rais uwezeshaji Bw,Abdulrahman Mwinyi Jumbe,[Picha na
Ikulu.] 01/11 /2016.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara
mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017

Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia)
akitoa mchango wake wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017

Shein,(hayupo pichani) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi “Gavu” (kushoto) [Picha na

No comments:
Post a Comment