Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiongoza kikao kilichoshirikisha
kampuni zinazohusika na usambazaji wa gesi majumbani pamoja na watendaji
kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Nishati na Maji (EWURA), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania
(TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta
(PURA) na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja nchini (PBPA).
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe (kushoto)
pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Shirika la Maendeleo ya
Petroli Tanzania (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa
Juu wa Mafuta (PURA) na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja nchini
(PBPA), wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani)
Watendaji kutoka kampuni
zinazohusika na usambazaji wa gesi majumbani wakifuatilia maelekezo
yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Muhongo (hayupo pichani).
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji kutoka Tanzania Association of Oil Marketing, Salum Busarara akieleza jambo katika kikao hicho.
No comments:
Post a Comment