Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta wakiongozana kwenye Ikulu ya Nairobi Oktoba 31, 2016. Rais
yuko nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. (PICHA NA IKULU)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyeji wake Rais Uhuru
Kenyatta wa Kenya, wakizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa
habarui Ikulu ya Nairobi leo Oktoba 31, 2016

Mazungumzo ya keserikali yaliyoongozwa na marais haona wajumbe wa mataifa hayo mawili
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje wa Kenya Balozi
Amina Mohamed mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Jomo Kenyata nchini Kenya
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride
la heshima aliloandaliwa na Jeshi la Kenya mara baada ya kuwasili katika Ikulu
ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima mbele ya kaburi
la Muasisi wa taifa la Kenya na Rais wa Kwanza wa nchi hiyo Mzee Jomo Kenyatta
jijini Nairobi.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa kupigwa nyimbo za mataifa hayo mawili
No comments:
Post a Comment