Ni
miezi minane sasa imepita tangu mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu
uanze nchini, ambapo wizara yangu imekuwa ikitoa taarifa ya mwenendo wa
ugonjwa huu kila wiki, na kufanya majumuisho kila mwezi, ili kutoa
tahadhari kwa wananchi na maelekezo ya hatua za kuchukua ili kukabiliana
na mlipuko huu. Kwa mara nyingine tena, ninatoa taarifa ya mwenendo wa
ugonjwa wa Kipindupindu, ikiwa ni ya mwisho wa mwezi wa nne mwaka huu wa
2016
NSSF YADHAMINI SIKU YA MADANSA DUNIANI
Ofisa
Mkuu Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya madansa duniani
yaliyofanyika kwenye viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF. (Na Mpiga Picha Wetu)
Ofisa Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto) akimkabidhi fulana, Jumanne Mnola alipotembelea
banda la NSSF wakati wa uzinduzi wa siku ya madansa duniani
iliyofanyika viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na
NSSF.
Ofisa
Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto),
akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wao, Said Ally, alipotembelea banda
lao wakati wa uzinduzi wa siku ya madansa duniani iliyofanyika kwenye
viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na
kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa Mwandamizi Masoko na Uhusiano (Nssf), Amina Mbaga akigawa vipeperushi kwa baadhi ya
wananchi waliotembelea banda lao.
wananchi waliotembelea banda lao.
Ofisa Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa
vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao katika
uzinduzi wa siku ya madansa duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC
Club Chang’ombe jijini Dares Salaam, mwishoni mwa wiki. Uzinduzi huo
ulidhaminiwa na NSSF.
Wafanyakazi wa NSSF wakimkabidhi fulana mteja wao, Antela Salumu (katikati).
Ofisa
wa NSSF, Innocent Shao, (kulia) akiwaandikisha baadhi ya wanachama
wapya waliojiunga na NSSF walipotembelea banda la NSSF katika uzinduzi
wa siku ya madansa duniani iliyoadhimishwa kwenye
viwanja vya TCC Club Chang’ombe na kudhaminiwa na NSSF.
viwanja vya TCC Club Chang’ombe na kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa
uandikishaji NSSF, Amina Kisawaga (kulia) akitoa maelezo kwa mteja
alietembelea banda lao Fumbwe Juma, katika uzinduzi wa siku ya madansa
duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Dar es
Salaam na kudhaminiwa na NSSF.
Picha ya pamoja.
KATA YA KISESA YAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA KIMAZINGIRA
Sehemu
wa Wakazi wa Kijiji cha Mwabukoli, wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri
Mpina (Hayupo Pichani) alipokuwa akiwafafanulia namna ya kukabiliana na
changamoto za utunzaji wa mazingira katika ziara yake Mkoani Simiyu ya
Utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa kupanda miti na kuhifadhi vyanzo
vya maji.
Baadhi
ya wananchi wa kijiji cha Mwabukoli wilayani Meatu Mkoani Simiyu,
wakifuatilia Hotuba ya Naibu Waziri Mpina (hayupo Pichani) alipotembelea
kijijini hapo, wenyeji hao wa kabila la kisukuma, wapo na vifaa vyao
vya jadi wakifanya dawa kwa utaratibu wa kudumisha mila zao wakati wa
ngoma ya mavuno.
Wanadiaspora watakiwa kuwekeza nyumbani
Na Mwandishi wetu Washington
Wazanzibari waishio nchi za nje wametakiwa kuwekeza nyumbani kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa.
Wito huo ulitolewa jana na
maofisa kutoka Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) na Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii Zaznzibar (ZSSF) wakati wakizungumza na Wazanzibari waishio nchini
Marekani.
Akizungumza kwenye mkutano huo
uliondaliwa na Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA),
Meneja wa Mipango na Uwekezaji kutoka ZSSF Bwana Khalifa Muumin Hilal
alisema kuwa Taasisi yake ina miradi kadhaa ya uwekezaji inayoendeshwa
kwa ushirikiano na Benki ya Watu wa Zanzibar, na kwamba inawahamasisha
Wazanzibari waishio Ughaibuni kuwekeza katika miradi hiyo.
Miongoni mwa miradi hiyo ni
mradi wa nyumba za kisasa katika eneo la Mbweni, nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar ambao ujenzi wake tayari umeanza na unatarajiwa kukamilika
katika kipindi cha miaka mitatu.
Bwana Hilal alifafanua kuwa
eneo hilo litakuwa na majengo ya nyumba za kuishi yenye urefu wa ghorofa
saba, ambapo kila ghorofa itakuwa na nyumba mbili.
“Kutakuwa na nyumba za vyumba
viwili, vitatu na vinne” alifafanua Meneja Hilal, na kuongeza kuwa
nyumba hizo zitapatikana kwa bei nafuu.
NSSF ILIVYOSHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI DODOMA
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius
Kahyarara (katikati waliokaa), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF,
Crescentius Magori (kulia) na Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa
NSSF, Eunice Chiume (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa NSSF nje ya Ofisi ya Mkoa wa Dodoma wakati wa sherehe za
Sikukuu za Mei Mosi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius
Kahyarara (kulia), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori
na Meneja Kiongozi
Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Meneja wa NSSF Mkoa wa
Dodoma, Rehema Chuma wakati wa sherehe za Sikukuu za Mei Mosi
zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
John Magufuli (wa pili kushoto) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano
na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia), Rais wa Shirikisho la vyama vya
Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Gratian Mukoba (wa pili kulia) na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu , Jenista Mhagama wakati wa kilele cha sherehe za Sikukuu za Mei
Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Wafanyazi wa NSSF wakiwa na bango lao.
Wafanyakazi
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakipita kwa maandamano
mbele ya mgeni rasmi Rais John Magufuli (hayupo pichani), katika
kilele cha Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika Mei Mosi.
Maandamano
ya wafanyakazi wa NSSF yakipita mbele ya mgeni rasmi Rais John Magufuli
(hayupo pichani) katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei
Mosi.
Wafanyakazi wakiwa katika maandamano.
Wafanyakazi wa NSSF wakiingia kwa maandamano.
wafanyakazi wakiwa katika sherehe za sikukuu ya Mei Mossi
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius
Kahyarara (kulia), Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma, Meneja Kiongozi
Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Mkurugenzi wa Uendeshaji
wa NSSF, Crescentius Magori wakitoka bada ya kumalizika kwa sherehe za
Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
MBUNGE WA JIMBO LA VUNJO ATEMBELEA BARABARA YA KILEMA NA KUJIONEA ILIVYO HARIBIKA VIBAYA KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA.
Mbunge
wa Jimbo la Vunjo ,James Mbatia akitizama barabara ya kuelekea
Hospitali ya wilaya ,Kilema Hospital namna ambavyo imeharibika kutokana
na Mvua zinazoendelea kunyesha.
Wanafunzi
katika shule iliyo jirani na barabara hiyo wakitizama sehemu ya korongo
lililopo katika barabara hiyo ambayo ni tegemeo kwa Chuo cha Ualimu
Mandaka,Seminari ya Mtakatifu James ,shle za sekondari pamoja na msingi.
Baaadhi
ya madreva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wakipita katika barabara
hiyo ambapo kwa sasa nauli ya kupandisha abiria kwenda Hospitali ya
wilaya ya Moshi,Kilima imepanda kutoka kiasi cha sh 3000 hadi 6000 .
Moja
ya Magari yanayotumia barabara hiyo likijaribu kupita katika barabar
hiyo ambayo imeharibika vibaya kutokana na maji yaliyosababishwa na mvua
zinazoendelea kunyesha.
Sehemu
ya barabara hiyo likionekana korongo ambalo limeanza kumegwa na maji na
kuhatarisha kukatika kwa mawasiliano katika baina ya vijiji 12 ambavyo
wakazi wake wanatumia barabara hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ATUNUKU VYETI KWA WASHIRIKI WA KAMPENI YA SIKU 10 YA USAFI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA)
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akitoa vyeti kwa wawakilishi
wa Kampuni mbalimbali zilizosaidia katika kampeni ya siku 10 ya kufanya
usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Zoezi la
utoaji Vyeti limefanyika katika lango la Marangu wakati wa hafla fupi ya
kuwapokea washiriki wa zoezi hilo la usafi.
wa Kampuni mbalimbali zilizosaidia katika kampeni ya siku 10 ya kufanya
usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Zoezi la
utoaji Vyeti limefanyika katika lango la Marangu wakati wa hafla fupi ya
kuwapokea washiriki wa zoezi hilo la usafi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akizungumza na washiriki wa
kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro (KINAPA) muda mfupi mara baada ya kurejea.
kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro (KINAPA) muda mfupi mara baada ya kurejea.
Baadhi ya Washiriki wa Kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya
Taifa ya Mlima Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Said Mecky Sadicky alipokuwa mgeni rasmi katika Hafla ya
kutunuku vyeti kwa washiriki pamoja na wamiliki wa kampuni.
Taifa ya Mlima Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Said Mecky Sadicky alipokuwa mgeni rasmi katika Hafla ya
kutunuku vyeti kwa washiriki pamoja na wamiliki wa kampuni.
Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza katika Hafla hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Daud Ntibenda AHUTUBIA WAFANYAKAZI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MEI MOSI
Mkuu
wa mkoa wa Arusha akiwa katika sherehe za mei day kabla ya kuwahutubia
wafanyakazi Leo jijini Arusha katika uwanja wa sheikh Amri Abeid .
Mkuu
wa mkoa wa Arusha Daud Ntibenda akihutubia wakazi na wafanyakazi wa
mkoa wa Arusha wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi
duniani Leo kwenye uwanja wa sheikh amri abeid jijini Arusha.
Wafanyakazi
wa kampuni na mashirika mbalimbali mkoani Arusha wakifuatilia hotuba ya
Mkuu wa mkoa wa Arusha daud ntibenda hayupo picha kwenye kilele cha
sherehe za wafanyakazi Leo jijini Arusha
Zawadi za washindi wa maonyesho ya mei mosi kama zinavyoonekana pichani picha na Mahmoud Ahmad arusha
Moja ya gari la maonyesho kwenye mei mosi la idara ya misitu kama lionekanavyo pichani picha na Mahmoud Ahmad Arusha
HOSPITALI ZATAKIWA KUWALINDA WAPOKEA KUMBUKUMBU NA MAAMBUKIZI
Katibu Mkuu wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Rehema Mwaipaja akizungumza na wanachama wa THERIA kabla ya kufungwa kwa Mkutano wao juzi. |
Katibu Mkuu wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Rehema Mwaipaja akizungumza na wanachama wa THERIA kabla ya kufungwa kwa Mkutano wao juzi. |
Na Mwandishi Wetu.
YALIYOJIRI SIKU YA MEI MOSI UWANJA WA JAMUHURI MJINI DODOMA
Rais
John Pombe Magufuli , Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge, Ajira,
Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kushoto)
wakishiriki kuimba wimbo maalum wa mshikamano wa wafanyakazi katika
sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma na kuhutubiwa na Rais, Mei 1, 2016. Wapili kulia ni Rais wa
Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Gratian Mukoba.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa Dodoma baada ya Rais
John Magufuli kuhutubia katika sherehe za Mei Mosi kwenye uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma Mei1, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MFUKO WA PENSHENI WA PPF WATOA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2015, RAIS MAGUFULI AMKABIDHI CHETI NA KITITA CHA SH. MILIONI TANO
Rais
Dkt. John Magufuli, akimkabidhi cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka
2015 Enock Kalege, na zawadi ya Sh. milioni 5 iliyotolewa na Mfuko wa
Pensheni wa PPF kwa mfanyakazi huyo bora wa mwaka, wakati wa Kilele cha
sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa mkoani Dodoma leo,Mei 1,2016.
Kutoka
kushoto, ni Kaimu Murugenzi wa Bernard Konga,Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa Pensheni PPF, William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Eliud Sanga,
wakiwa katika sherehe za Mei Mosi Mkoani Dodoma leo,
Picha na Mpiga Picha Wetu
No comments:
Post a Comment