Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema (kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko la Hifadhi za jamii, NSSF, Dkt. Ramadhani Dau
mjini Arusha Juni 3, 2015. Juni 2, Mheshimiwa Pinda alifungua Mkutano wa
Tano wa Wadau wa NSSF.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii, NSSF, Dr.
Ramadhani Dau, jijini Arusha Juni 3, 3015. Juni 2, Mheshimiwa Pinda
alifungua Mkutano wa tano wa wadau wa NSSF.
No comments:
Post a Comment