Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa
NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Juni 2,
2015. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Tibenda,
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ,Dr. Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wadhamini ya NSSF Abubakari Rajab.
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
tano wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Mizengo PInda wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Kimataifa
cha Mikutano cha Arusha, AICC mjini Arusha Juni 2, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na mdau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa NSSF, Bw.Clement
Lori na mkewe Margareth baada ya kufungua mkutano wa wadau wa NSSF
kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha AICC mjini Arusha
Juni 2, 2015.
No comments:
Post a Comment