Pages

Friday, January 6, 2023

WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YAKE HOSPITALI YA NAMTUMBO

 WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Januari 06, 2023 ametembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma ambapo amesema ameridhishwa na utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa Oktoba 18, 2023.




No comments:

Post a Comment