BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) umetoa taarifa ya kuutahadharisha umma dhidi ya ongezeko la vitendo vya udanganyifu unaohusisha mwananchi kupokea taarifa (hati au barua pepe) inayodai kuwa ni uthibitisho wa malipo kupitia SWIFT au mifumo mingine ya uhamishaji fedha.
Mpokeaji anafahamishwa kuwa fedha zimeingizwa kwenye benki au akaunti katika taasisi ya fedha nchini Tanzania.
Taarifa kamili ya BoT soma hapo chini
No comments:
Post a Comment