Pages

Monday, November 28, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA ETHIOPIA PAMOJA NA BALOZI WA QATAR NCHINI ,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Hussain Hussain Ahmad Al Homaid mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment