Pages

Wednesday, November 30, 2022

NBAA YAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU KUANZISHWA KWAKE, MKUTANO WA WAHASIBU MKUU WAFANA

Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali akikata utepe kuashiria kuzindua kitabu cha hitoria ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  wakati wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali akionesha kitabu  cha historia ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA) wakati wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu(kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno wakionesha kitabu cha historia ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA) wakati wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali akizungumza kuhusu Serikali inavyothamini mchango wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu hivyo itasimamia taaluma hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanznaia(NBAA)  yaliyofanyika leoNovemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japhet Hasunga akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanznaia(NBAA)  yaliyofanyika leoNovemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu akizungumza kuhusu mikakati iliyowekwa na Bodi ya NBAA kwa miaka 50 ijayo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leoNovemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akisoma risala kwa mgeni rasmi kusuhu namna wanavyosimamia wahasibu pamoja na wakaguzi wanapokuwa kazini ili kulinda taaluma zao wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(katikati) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno(kulia) pamoja na kupongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu(kushoto) wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(kushoto) akimkabidhi tuzo Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Simon Fundi Sayore  wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(kushoto) akimkabidhi tuzo Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Profesa Isaya Jairo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(kushoto) akimkabidhi tuzo Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu(kulia) wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(kushoto) akiwakabidhi zawadi baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(kushoto) akimkabidhi tuzo kwa baadhi ya wadhamini wa maandalizi ya miaka 50 ya Bodi wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali(kushoto) akimkabidhi vyeti kwa baadhi ya wadhamini wa maandalizi ya miaka 50 ya Bodi wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya NBAA CPA Dr Neema Kiure akizungumza kuhusu maadhimisho ya Miaka 50 ya Bodi ya NBAA yalivyofana pamoja na kutoa shukrani kwa mgeni rasmi Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali, wafadhili mbalimbali na washiriki wa mkutano mkuu kwa kushiriki vyema kwenye maadhimisho ya ya miaka 50 ya Bodi hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. 
Washindi wa Mpira wa miguu kuanzia mshindi wa kwanza mpaka wa tatu walioshiriki kwenye mashindano ya maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa hesabu Tanzania wakipokea vikombe vyao wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya Wahasibu na Wakaguzi pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali alipokuwa anafanya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanznaia(NBAA)  yaliyofanyika leoNovemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) CPA Profesa Ganka Nyamsogoro akitoa neno la shukrani wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2022 pamoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu  Tanzania(NBAA)  yaliyofanyika leo Novemba 30, 2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno.
Picha za pamoja 

No comments:

Post a Comment