Pages

Friday, July 22, 2022

MAELFU YA WASTAAFU WAJITOKEZA KUSIKILIZWA NA KUTATULIWA KERO ZAO NA WAZIRI NDALICHAKO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akiwasikiliza na kuwahudumia wastaafu waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wake wenye lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wastaafu wa Mkoa wa Dar es Salaam.








Mamia ya wastaafu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakisubiri kuhudumiwa wakati wa mkutano wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako

No comments:

Post a Comment