Pages

Sunday, April 3, 2022

Rais Samia Akutana Na Kuzungumza Na Mhe. Vicky Ford, Waziri Anaeshuhulikia Masuala Ya Afrika Nchini Uingereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha yenye muonekano wa mlima wa Kilimanjaro Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili, 2022.


-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili, 2022.

No comments:

Post a Comment