Pages

Friday, March 4, 2022

TCRA YAVUONYA VITUO VINNE VYA UTANGAZAJI

 MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevionya Vituo Vinne (4) vya Utangazaji nchini na kuvitoza faini ya jumla ya Shilingi milioni mbili (2) Vituo vitatu (3) kati ya vinne kwa makosa mbali mbali ya ukiukaji wa Kanuni za Utangazaji, jijini Dar es Salaam leo (4 March, 2022).

Vituo hivyo ni Entertainment FM (EFM), Times FM, Dizzim TV na Televisheni ya Mtandaoni ya Dina Marios Baby Coconut Oil.

Pichani chini ni Mwenyekiti na Wajumbe wa Kamati ya Maudhui katika Kikao  na Wandishi wa Habari, katika Makao Makuu ya TCRA. Kushoto ni Derek Murusuri, Habby Gunze ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Jacob Tesha.

No comments:

Post a Comment