Pages

Wednesday, March 2, 2022

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI KENYA KUMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA BARAZA LA KIMATAIFA LA MAZINGIRA

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi nchini Kenya. Makamu wa Rais yupo nchini Kenya kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Maalum wa Baraza la Kimataifa la Mazingira unaoenda sambamba na maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP). Machi 2,2022.

No comments:

Post a Comment