Pages

Wednesday, February 2, 2022

WAZIRI MASAUNI, BALOZI WA MAREKANI DKT. WRIGHT WAJADILIANA MASUALA YA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akipokea zawadi ya Jarida linalozungumzia masuala mbalimbali ya Nchi ya Marekani, kutoka kwa Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright, baada ya mazungumzo yao ya masuala ya ushirikiano yaliyofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright (wapili kushoto), wakimsikiliza Katibu wa Sekretarieti ya Taifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Binadamu, Seperatus Fella (kulia), alipokuwa akizungumzia masuala ya biashara hiyo haramu katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright, wakati Balozi huyo alipokuwa anawasili ofisini kwa Waziri huyo, kwa ajili ya kufanya mazungumzo ushirikiano kati ya  Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment