WAZIRI KIJAJI AKUTANA NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI
Mhe. Dkt. Ashanti K. Kijaji (Mb), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Leo tar. 31 Januari, 2022 amekutana na Wazalishaji wa Saruji kwa lengo la kudhibiti upandaji holela wa bei ya saruji nchini.
No comments:
Post a Comment