Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop pamoja na Ujumbe alioambatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.
No comments:
Post a Comment