Pages

Monday, November 29, 2021

FURSA YA KUUZA MAZAO KATI YA TANZANIA NA INDIA. ,

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo(pichani kushoto),leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India.

 Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution.

 Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021. 



No comments:

Post a Comment