Pages

Friday, October 29, 2021

MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI KWA MAWAZIRI NA MNAIBU MAWAZIRI

 



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi, yanayofanyika leo Oktoba 29,2021  jijini Dodoma.



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mohamed Mchengerwa (katikati) na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael baada ya kufungua mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi,unaofanyika leo Oktoba 29,2021 jijini Dodoma 

 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mohamed Mchengerwa na katikati ni Spika Mstaafu Anne Makinda,unaofanyika leo Oktoba 29,2021 jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akifungua  mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi unaofanyika leo Oktoba 29,2021 jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Kadari Singo wakati akifungua  mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi,yanayofanyika leo Oktoba 29, 2021 jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment