Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Bi.
Rose Joseph, akitoa maelezo kwa wahitimu wa kidato cha sita waliotembelea banda
la Chuo Kikuu Mzumbe kwenye Maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea kwenye viwanja
vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Maafisa Udahili wa Chuo Kikuu Mzumbe
wakitoa huduma ya udahili wa moja kwa moja (online registration) kwa waombaji
waliofika banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika maonesho ya Vyuo Vikuu
yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)
No comments:
Post a Comment