RAIS SAMIA AWASILI UWANJA WA NDEGE WA DODOMA AKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja
wa Ndege wa Dodoma leo Juni 29,2021 akitokea Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment