Pages

Tuesday, June 29, 2021

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM





Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu.)

No comments:

Post a Comment