Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa mara ya kwanza amewasili Ofisini kwake Ikulu Chwamwino na kuzungumza na Viongozi wa Ofisi yake mara baada ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma kumuapisha kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 31,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma kumuapisha Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 31,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment