BALOZI LIBERATA ATEULIWA KUWA WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Waziri
wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa. Ameshika nafasi ya
aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Profesa Paramagamba Kabudi.
No comments:
Post a Comment