Balozi
wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga ameteuliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Mkuu
Kiongozi wa Serikali na kushika nafasi ya aliyekuwa katibu mkuu
Kiongozi Dkt. Bashiru Ally ambaye alichaguliwa na aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. Magufuli.
No comments:
Post a Comment