Pages

Tuesday, December 1, 2020

RAIS DKT.MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiagana na Gavana wa  Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof.Florens D.A.M.Luoga (kati) mara baada ya mazungumzo na Uongozi wa Benki hiyo yaliyofanyika leo  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) (kushoto) leo wakati walipofika kumpa pongezi na kuzungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) (kushoto) leo wakati walipofika kumpa pongezi na kuzungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020. 

 

No comments:

Post a Comment