
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.Picha na Ikulu

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akitoa hutuba yake mara baada ya kuapishwa rasmin leo kufuatia
ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais
awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo
katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]
02/11/2020.
Marais
Wastaafu na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe ya kuapishwa kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa mshindi kwa chama cha CCM katika Uchaguzi uliopita ambapo
anakuwa Rais wa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla
iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na
Ikulu] 02/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali
Mwinyi (katikati) akiwa na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Fadhil Omar
Nondo na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Samia Suluhu Hassan (kushoto) pamoja na Viongozi wengine baada ya
kuapishwa rasmi leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini
Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikagua gwaride maalum la vikosi vya ulinzi mara baada ya
kuapishwa rasmin kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita,
kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini
Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na Mkewe Mama Marium Mwinyi mara baada ya kuapishwa
rasmin kushika wadhifa huo awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar hafla ilifanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini
Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika
wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla
iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na
Ikulu] 02/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Amani Abeid Karume mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.
Wananchi
na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika sherehe ya
kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kushinda CCM katika Uchaguzi uliopita
ambapo anakuwa Rais wa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini
Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.

No comments:
Post a Comment