Pages

Monday, November 2, 2020

MISS UTALII TANZANIA 2020 RUVUMA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA MKOA WA RUVUMA

MISS Utalii Tanzania 2020 Ruvuma Fideo Hilary akiwa katika ziara ya kutembelea vivutio vya Mkoa wa Ruvuma,hapa ni Makumbsho ya Taifa ya Majimaji Songea.

Miss-Utalii-Tanzania-2020-Ruvuma-Fideo-Hilary-akiwa-katika-ofisi-ya-Mkuu-wa-Mkoa-wa-Ruvuma.

Miss-Utalii-Tanzania-2020-Ruvuma-Fidea-Hilary-akiwa-katika-kaburi-la-Chifu-wa-wangoni-Songea-Mbano-ambaye-aliuawa-na-kukatwa-kichwa-na-wajerumani-mwaka-1906kichwa-chake-kimehifadhiwa-Ujerumani.

Miss-Utalii-Tanzania-2020-Ruvuma-Fidea-Hilary-akiwa-katika-kaburi-la-Chifu-wa-wangoni-Songea-Mbano-ambaye-aliuawa-na-kukatwa-kichwa-na-wajerumani-mwaka-1906kichwa-chake-kimehifadhiwa-Ujerumani.

Miss Utalii Tanzania 2020 Ruvuma akiwa katika kaburi la pamoja Ruvuma.

Miss-Utalii-Tanzania-2020-Ruvuma-Fideo-Hilary-akiwa-katika-kaburi-la-pamoja-la-mashujaa-66-wa-vita-ya-majimaji-waliouawa-mwaka-1906

………………………………………………………………………………….

Miss Utalii Tanzania 2020,Ruvuma Fidea Hilary ameanza ziara ya kutembelea vivutio vya utalii katika Mkoa wa Ruvuma.Ziara hiyo imeanzia katika Makumbusho ya Taifa ya Majimaji yalipo mjini Songea ambayo yana vivutio adimu vya utalii wa kishujaa na kiutamaduni ikiwemo kaburi la pamoja la mashujaa 66 wa vita ya  Majimaji  na kaburi la Jemedari wa wangoni Chifu Songea Mbano aliyezikwa bila kichwa katika makumbusho hayo.Mashujaa hao waliuawa kikatili kwa kunyongwa na wajerumani  Februari 27,1906 .Makumbusho ya Taifa ya Majimaji ilijengwa  mwaka 1980.

 

No comments:

Post a Comment