Pages

Monday, November 2, 2020

DK.HUSSEIN MWINYI AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR


JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.Picha na Ikulu

 

No comments:

Post a Comment