Pages

Tuesday, September 29, 2020

KATIBU WA BUNGE STEPHEN KAGAIGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA NMB JIJINI DODOMA

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Benki, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Benki, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Benki, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (wanne kulia) akizungumza na ugeni kutoka NMB Benki ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (kulia kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

 

No comments:

Post a Comment