Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini
Donald John Wright mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwake
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Balozi wa Marekani hapa nchini Donald John Wright
mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwake katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.Balozi
wa Marekani hapa nchini Donald John Wright akiwa amesimama wakati
nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Marekani zilipokuwa zikipigwa na
Brass Band ya Polisi katika mapokezi yake Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Profesa Palamagamba Kabudi katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani
hapa nchini Donald John Wright Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Balozi wa Viet Nam hapa nchini Nguyen Nam Tien
mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwake katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Profesa Palamagamba Kabudi katika picha ya pamoja na Balozi wa Viet Nam
hapa nchini Nguyen Nam Tien mara baada ya kuwasilisha Hati za
Utambulisho kwake katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Viet Nam hapa nchini
Nguyen Nam Tien mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwake
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.Balozi
wa Viet Nam hapa nchini Nguyen Nam Tien akiwa amesimama wakati nyimbo
za Mataifa Mawili ya Tanzania na Viet Nam zikipigwa na Brass Band ya
Polisi katika mapokezi yake Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment