Pages

Monday, August 31, 2020

RAIA WA KIGENI WAWILI NA WATANZANIA KIZIMBANI KWA KUGHUSHI MAKUBALIANO YA KAMPUNI

  Na Karama Kenyunko-Michuzi TV
RAIA wawili wa kigeni, wafanyakazi wawili wa benki ya Equity na Msajili Msaidizi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 13 likiwemo la kughushi na kutakatisha  USD 300,000.

Katikati hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa serikali Mwandamizi Wankyo Simon imewataja washtakiwa hao kuwa ni,  Mohammed Nur (48) raia wa Afrika Kusini, Umulkher Mohammed (34) raia wa Somalia, wote wafanyabiashara na Noel Shani (44)

No comments:

Post a Comment