Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya
Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), mkoa wa Shinyanga Daniel Ojwando,
wakati Katibu Mkuu huyo alipokuwa akikagua Karakana ya TEMESA mkoani
humo
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Shinyanga, Mhandisi
Mibara Ndirimbi, akizungumza wa watumishi wa Taasisi zilizo chini ya
Sekta ya Ujenzi, wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, alipokutana na
watumishi hao mkoani Shinyanga kujadili masuala mbalimbali ya
kiutumishi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),
Arch. Elius Mwakalinga, akisisitiza jambo kwa watumishi wa Taasisi
zilizo chini ya Sekta yake (hawapo pichani) alipokutana nao mkoani
Shinyanga kujadili masuala mbalimbali ya kiutumishi.
Watumishi
wa Taasisi zilizo chini ya Sekta ya Ujenzi, wakimsikiliza Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch.
Elius Mwakalinga (hayupo pichani) wakati alipokutana nao kujadili
masuala mbalimbali ya kiutumishi.
No comments:
Post a Comment