Pages

Thursday, July 30, 2020

MAONYESHO YA NANE NANE KITAIFA KUANZA AGUST 1,2020 SIMIYU



Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa Mwaka 2020 ,yatafanyika Kanda ya Ziwa,Mashariki katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoa wa SIMIYU Kuanzia.Tarehe 1 Mpaka Tarehe 8 August.
Wananchi Wote Mnakaribishwa Kujionea mafanikio ya ubunifu.katika Sekta za Kilimo,Uvuvi na Ufugaji kutoka.kwa wadau.Mbali Mbali.Utajipatia.bidhaa mbalimbali.kwa bei nafuu na kupata elimu ya kukuza ujuzi kwenye kila.nyanja.
Tunawakaribisha kuungana na Viongozi.wetu wa Taifa Tusherekee Mafanikio.ya Sekta ya Kilimo,Ufugaji na Uvuvi.
Utapata burudani kibao kutoka kwa wasanii wakali nchini.
KARIBUNI WOTE
#NaneNane2020
#Kandaziwamashariki

No comments:

Post a Comment