Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
amefurahishwa na ubunifu wa Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe wa
kupanda mhogo kwenye eneo lote linalozunguka makazi yake badala ya
kupanda maua na nyasi. Alisema ubunifu huo licha ya kumpatia mboga za
majani na mhogo wa kula, ziada atauza na kujipatia fedha. Pichani,
Mheshimiwa Majaliwa akitazama mhogo huo, Machi 3, 2020. Wa pili Kulia ni
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela na kulia ni Mkuu huyo wa wilaya.
(Picha na Ofisi ya Waziri ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment