Pages

Monday, March 2, 2020

MAJALIWA AFUNGUA BARABARA YA MAKORORA – MSAMBWENI JIJINI TANGA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kufungua  barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye uerfu wa kilometa  nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9,  Machi 1, 2020 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipofungua  barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye urerfu wa kilometa  nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9,  Machi 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye urerfu wa Kilometa  nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9,  Machi 1, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela, wa pili kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Wa tatu Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu na wa nne Kulia ni Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Mwita Waitara.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela baada ya kufungua  barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye urerfu wa kilometa  nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9,  Machi 1, 2020

No comments:

Post a Comment