Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
akiongea na Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa leo katika Ofisi
Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Ujumbe wa maseneta
sita (6) kutoka Ufaransa, Bw. Herve Maurey (upande wa kulia mwa Naibu
Waziri) akifafanua jambo wakati wa maongezi baina yao na Naibu Waziri,
Dkt. Ndumbaro katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa maseneta kutoka
Ufaransa, Bw. Herve Maurey akimkabidhi zawadi Naibu Waziri Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro
(Mb)
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka
Ufaransa leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment