Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya
CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya
CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Viongozi waandamizi watano kutoka
vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM
mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu
ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020. Kutoka kushoto ni aliyekuwa
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la
Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la
Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David
Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula
Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakitambulishwa na kuwakaribisha rasmi
viongozi waandamizi kutoka vyama vya upinzani walioamua kujiunga na CCM
wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho tawala katika Ofisi zake
Ndogo mtaa wa
Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020. Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani
Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula

Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya
CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, anayefuatiwa na aliyekuwa Naibu
Meya wa jiji la Mbeya Bw. Fanuel Kyanula pamoja na aliyekuwa Meya wa
jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa
na kupokelewa rasmi kuwa wa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati
Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa
Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi
ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula anayefuatiwa na aliyekuwa Meya wa jiji la
Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na
kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya
CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw.
Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wanachama
wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo
ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari
28, 2020
No comments:
Post a Comment