Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (wa pili kulia) akiwa na Manaibu
Mawaziri wenzake wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Mkutano wa
Mashauriano kati ya Serikali na Wawekezaji, Wafanyabiashara na
Wajasiriamali kujadili changamoto za uwekezaji nchini. Mkutano huo
ulifanyika kwenye ukumbi wa Rock City jijini Mwanza jana. Wa tano kulia
ni Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (wa nne kulia) akiwa na Manaibu
Mawaziri wenzake wakifuatilia na kusikiliza kwa makini changamoto kutoka
kwa Wawekezaji, Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa mkoa wa Mwanza
katika Mkutano wa Mashauriano kati yao na Serikali uliofanyika kwenye
ukumbi wa Rock City jijini Mwanza jana. Wa Tano kulia ni Waziri Ofisi ya
Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa
Mashauriano kati ya Serikali na Wawekezaji, Wafanyabiashara na
Wajasiriamali kujadili changamoto za uwekezaji nchini. Mkutano huo
umefanyika ukumbi wa Rock City Mwanza jana. (PICHA NA WIZARA YA ARDHI)
No comments:
Post a Comment